Hata hivyo, wapiga kura wengi huwa hawaja fanya uamuzi kuhusu watakaye mpigia kura, katika uchaguzi hadi dakika ya mwisho wanapo ingia ndani ya kituo chakupigia kura.
Nini hushawishi uamuzi wako, siku yakupiga kura?

Wapiga kura waweka karatasi zao za kura ndani ya sunduku la kura. Source: AAP
Watu wengi huweka siri jina la mgombea/chama ambacho wata pigia kura katika uchaguzi.
Share