Je NAIDOC ni nini?

Wanaharakati wa haki za wa Australia wa kwanza waandamana Source: AAP
Nia ya muda mrefu ya watu kutoka jamii zawa Aboriginal na Torres Strait Islanders, kuwa na nafasi muhimu yakufanya maamuzi nchini Australia, ina ongoza maadhimisho ya wiki ya NAIDOC mwaka huu, ambayo yalianza tarehe 7 Julai na yatakamilika tarehe 14 Julai.
Share