TAFE ni nini?

The Sydney Institute of TAFE campus in Sydney Source: AAP, April Fonti
Ikiwa unatafuta kuanza kazi yako nchini Australia au tayari unafanya kazi na unataka kuendeleza ujuzi au kubadilisha taaluma, TAFE inaweza kuwa chaguo zuri kwako. Inatoa elimu ya ufundi na mafunzo stadi katika kila jimbo la Australia, ikijumuisha viwanda vingi. Amedee Nazigama anaangalia jinsi mfumo wa TAFE unavyosaidia.
Share