Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Gharama yakuto wajibika nchini Kenya ni gani?

Mwanafunzi a chunguzi mabaki ya vyombo vyake baada ya moto kuteketeza bweni shuleni
Mwanafunzi a chunguzi mabaki ya vyombo vyake baada ya moto kuteketeza bweni shuleni Source: Getty Images

Visa vya shule kuteketezwa kwa moto vimeongekeza katika siku za hivi karibuni nchini Kenya. Wanafunzi katika baadhi ya shule hizo ndiwo wame laumiwa kwa visa hivyo.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Visa vya shule kuteketezwa kwa moto vimeongekeza katika siku za hivi karibuni nchini Kenya. Wanafunzi katika baadhi ya shule hizo ndiwo wame laumiwa kwa visa hivyo.


Zaidi ya shule 100 za umma zime chomwa moto katika visa hivyo, na serikali ime apa kuwa wahusika wata chukuliwa hatua zaki sheria.

SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wa Kenya ambao hutuma ada ya shule nchini Kenya kwa jamaa wao.

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now