Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Gharama yakuwa mkenya ughaibuni ni ipi?

Picha: IEBC
Picha: IEBC Source: Picha: IEBC

Usajili wa wapiga kura kwa uchaguzi wa urais wa 2017 umeanza nchini Kenya.


Published

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Usajili wa wapiga kura kwa uchaguzi wa urais wa 2017 umeanza nchini Kenya.


Je wakenya wanao ishi ughaibuni wata jumuishwa katika hatua za usajili na kupiga kura baada ya miaka yakuto jumuishwa, au wata endelea kutazama kwa mbali?

 

Kwa uelewa zaidi kuhusu swala hili, SBS Swahili ilizungumza na Ali Badawy, mtangazaji wa One Mic Show, yenye makao makuu nchini Marekani, kuhusu hisia zawa Kenya wanao ishi marekani kwa swala hili.


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now