Siku ya Africa huadhimishwa katika nchi nyingi barani Afrika na sasa nchini Australia siku hiyo ime anza kuadhimishwa. SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya waafrika walio hudhuria maadhimisho ya jiji la Blacktown pamoja na siku ya Afrika.
Share
Published
Updated
By SBS Swahlii
Source: SBS
Share this with family and friends


