Wavunala hao walichangia maoni yao kuhusu mafunzo waliyo pewa katika kundi hilo pamoja na hisia zao baada yaku tahiriwa.
Umuhimu wakushiriki katika sherehe za jadi Australia ni upi?
Baadhi ya vijana walio shiriki katika mafunzo yaki tamaduni Source: Picha: ROP16
SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wavulana wenye asili ya Kenya walio shiriki katika mafunzo na sherehe za jadi zinazo wavufusha kutoka kuwa vijana hadi wanaume.
Share
