Baadhi ya wanaume kutoka jamii zawa hamiaji, walieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, umuhimu wakuadhimisha siku kuu ya kina baba.
Umuhimu wakuadhimisha siku ya kina baba ni nini?

Bibi na babu wachangia chakula na wanao pamoja na wajukuu Source: Getty Images
Familia nyingi nchini Australia, huadhimisha siku kuu ya kina baba kila tarehe 1 Septemba.
Share