Kunashinikizo jipya kwa uwepo wa viti vyaki jinsia katika siasa ya Australia, wakati ukosoaji unaendelea kuhusu jinsi wanawake mjini Canberra wanavyo hudumiwa.
Ni miaka 75 tangu wanawake walipo ingia ndani ya bunge la taifa.
Ila baadhi ya wataalam wamesema mfumo bado unafanyakazi katika hali ambayo inawapendelea wanaume.
75% ya wanachama wa Liberal ni wanaume, na kwa baadhi ya watu hali hiyo haikubaliki.
Share






