UNYANYASI DHIDI YA WANAWAKE

Survey finds that young men and boys are confused about consent and control in relationships Source: AAP
Utafiti mpya umebaini, Waustralia wadogo hawaelewi kuhusu swala zima la idhini na mfumo dume (mwanaume pekee kuwa na sauti au udhibiti) kwenye mahusiano. Mtazamo wa Kitaifa wa Jamii kuhusu utafiti wa Unyanyasaji dhidi ya Wanawake umegundua, baadhi ya vijana wadogo wanawalaumu wanawake kwa kudhalilishwa na picha zao za utupu kutumika bila ridhaa zao.
Share