Wikendi hii kivumbi kilipaa katika uwanja wa taifa mjini Dar es Salaam, Yanga na Simba zilipo ingia dimbani.
Timu za taifa za wanawake za Australia na India nazo zili ingia dimbani katika fainali yakombe la ICC T20 Kriketi mjini Melbourne ambako mbichi na mbivu zilibainika.
Mjini Manchester nako pia joto liliongezeka wakati wahasimu Manchester Utd na Manchester City walipo zichapa.
Share





