Vijana ndio viongozi wa kesho, wazee mara nyingi husema, vijana kutoka jamii yawa Kenya wanao ishi NSW walikutana hivi karibuni kujadili baadhi yamaswala wanayo kabiliana siku kwa siku.
Vijana hao pia wali unda chama kipya kitakacho wawakilisha ndani ya jamii pamoja naku andaa mikutano na tamasha kwa niaba ya vijana ambao ni wanafunzi wakimataifa na wenzao.
Waandalizi wa tukio hilo wali eleza SBS Swahili umuhimu waku unda chama hicho.
Share





