Mdukuzi huyo ame onya kuwa atachapisha taarifa zaidi zawateja wa Optus kama hata lipwa zaidi ya dola milioni moja.
Kujua zaidi jinsi taarifa za wateja wa Optus zilivujwa na jinsi watu wanaweza hakikisha usalama wa taarifa zao mtandaoni, SBS Swahili ilizungumza na mtaalam wamaswala ya IT Bw Yves aliyeweka bayana changamoto za data za wateja mtandaoni na kama kampuni zinastahili hifadhi data hizo kwa muda gani.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.