Mwanzo mpya wa DR Congo

Rais mstaafu Kabila, amkabidhi rais mpya wa DR Congo Felix Tshisekedi uongozi wa taifa Source: AAP
DR Congo ilishuhudia hafla ya kukabidhiana mamlaka kwa amani kwa mara ya kwanza, hatua ambayo ilikuwa yaki historia katika taifa hilo la Afrika ya Kati tangu taifa hilo lipate uhuru. Wanachama wa jamii ya watu kutoka DR Congo, wanao ishi NSW walichangia maoni yao kuhusu tukio hilo laki historia na SBS Swahili.
Share




