Iwapo nikwa tobogganing, kufanya mchezo waku teleza juu ya theluji, kushiriki katika michezo yaku rushiana theluji, au hata kuota tu kuhusu kuona theluji iki anguka kwa mara ya kwanza, viwanja vya theluji vya Australia hutoa uzoefu waki miujiza.
Katika makala haya, tuta kupa taarifa yote unayo hitaji kupanga safari yako ya theluji: unacho stahili chukua, sehemu bora zakuenda, jinsi ya kuhakikisha una joto yakutosha, jinsi yakuwa salama pamoja nakuwa tayari kwa uzoefu huo.
Ingawa Australia ni maarufu kwa fukwe zake za jua na likizo za majira ya joto, ina sehemu nzuri sana pia zakutembelea zenye theluji ambazo huja hai wakati wa majira ya baridi.
Kwa hiyo, unaweza pata wapi theluji nchini Australia?
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.