Unaweza saidia kusherehekea mafanikio yao, kwa kumpendekeza kupata hadhi ya Order of Australia.
Karibu katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, ambako tuta elezea kwa nini ni muhimu kusherehekea, mafanikio ya wanachama wa wakaida wa jamii yetu.
Na tunavyo zidi kuwatambua wanachama wasio wakawaida ndani ya jamii zetu, ndivyo orodha ya heshimwa yawa Australia itazidi mulika utofauti halisi wa Australia.
Tuzo ya Order of Australia ni sehemu ya mfumo wetu wa heshima ya kitaifa. Ni njia bora yakutambua na kuwasherehekea wa Australia ambao wana toa mchango mkubwa kwa jamii.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.