Kikao cha kwanza cha bunge kili jumuisha hafla zakitamaduni na sherehe, na hatimae chama cha mseto kili pata ushindi wake wa kwanza kupitia muswada wa makato ya kodi.
Bunge la 46 la Australia lamaliza wiki ya kwanza ya vikao

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison (kulia) na Kiongozi wa Upinzani wa Australian Anthony Albanese (kushoto) katika sherehe yakufungua bunge la 46 la shirik Source: AAP
Bunge la 46 la Australia lime maliza vikao vyake vya kwanza wiki hii.
Share