Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Ben & Chance "tangu tuanze kufanya kazi ya Mungu pamoja maisha yamezidi kuwa mazuri"

Wasanii wa nyimbo za injili wanandoa Ben & Chance kwenye uzinduzi wa nyimbo yao mpya

Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.


Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Umaarufu wa wasanii wa injili Ben & Chance, una endelea kuongezeka kila uchao nchini Rwanda na kimataifa.


Wasanii hao ambao ni wanandoa wana endelea kuteka mioyo ya wapenzi wa miziki ya injili, kwa utunzi wao na wanavyo imba.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Ben & Chance walifunguka kuhusu safari yao waki wahudumia mashabiki wao kupitia muziki pamoja na walivyo pokewa Australia ambako wanafanya ziara yao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now