Mema ya BOB HAWKE

Floral tributes to the late former Australian Prime Minister Bob Hawke are seen at the Opera House in Sydney. Source: AAP
Salamu za rambi rambi zimeendelea kumininika toka duniani kote kwa waziri wa zamani wa Australia Bob Hawke, ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 89. Mpenda bia, michezo na muhitimu wa shule ya Rhodes alipata kiwango cha juu zaidi cha idhini ya Uwaziri Mkuu - asilimia 75. Frank Mtao anatuchambulia mema yake aliyoyafanya.
Share