Ulemavu ni hali yoyote inayoendelea ambayo inazuia shughuli za kila siku. Kwa msaada wa vifaa na huduma zinazofaa, vikwazo vinavyowapata watu wengi wenye ulemavu vinaweza kuepukika. Pata undani zaidi kutoka kwa wafanyakazi kuhusu matatizo hayo kama walivyohojiwa na Amadee Nazigama.
Share






