Baadhi ya wanachama wa jamii yawanyarwanda, wamefunguka kuhusu kitabu chao kipya kwa jina la: Survivors Uncensored.
Kitabu hicho kina zaidi ya hadithi 100 zinazo husu matukio waliyo shuhudia kabla, wakati na baada ya mauaji ya kimbari ya 1994 dhidi ya jamii yawa Tutsi nchini Rwanda.
Bi Delphin Yan na Bw Patrick Rubaga, ni miongoni mwa walioshiriki kuandika kitabu hicho, wame changia na SBS Swahili kilicho washawishi kuchangia hadithi zao katika kitabu hicho.