Mfalme wa Dancehall A.Mashariki Wyre azungumza na SBS Swahili
Wyre the Love Child ndani ya studio za SBS Swahili Source: SBS Swahili
Idhaa ya Kiswahili ili zungumza na mfalme wa Dancehall kutoka A. Mashariki, alipo tembelea studio za SBS alipokuwa katika ziara nchini Australia. Bw Wyre alizungumza kuhusu albam yake mpya inayo itwa LION. Wyre alitueleza pia kuhusu siri yaku endelea kutawala nakuwa mshawishi katika sekta yake katika ukanda wa A. Mashariki na maeneo ya Caribbean.
Share



