Katika mazungumzo maalum na jopo la wanawake, wanachama walio shiriki walifunguka kuhusu wanacho jivunia baada ya miaka 112 ya harakati za haki za wanawake.
Wanajopo hao walichangia maoni yao pia kuhusu hatua zinazo stahili chukuliwa, kuhakikisha harakati zinazo endelea zinazaa matunda mengi zaidi kwa faida ya wanawake na jamii kwa ujumla.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.