Mtu wa pili ame uawa na Ebola katika mpaka wa Jamuhuri yakidemokrasia ya Congo na Rwanda.
Kifo hicho kimejiri wakati nchi hiyo inafanya kumbukumbu ya kwanza ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo, na shirika la afya la dunia limetangaza ugonjwa huo kuwa ni dharura ya afya duniani.
Share






