Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu"

Bw Jeremiah Aseka, mchambuzi wa maswala ya kisiasa kutoka Melbourne, Victoria.jpg

Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.


Hali hiyo imesababishwa pakubwa na kampeni hasi za baadhi ya vyama vya kisiasa, vinavyo tumia dhana potofu kuhusu vijana wenye asili ya Afrika kujaribu kuwavutia wapiga kura.

Katika uchambuzi maalum wa kampeni ya shirikisho iliyo kuwa hivi karibuni, Bw Jeremiah ambaye ni mkaaji wa Melbourne alifunguka kuhusu baadhi ya changamoto ambazo jumuiya zawa Afrika hukabili haswa wakati wa kampeni za uchaguzi.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service