Kesi hizo zili sababisha kupotea kwa zaidi ya dola milioni 23.
Walaghai wanapo endelea kutumia mbinu zaki sasa, mtu yeyote anaye tafuta mapenzi anaweza naswa na mitego yao.
Katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, wataalam watachangia jinsi walaghai hutumika, onyo ambazo unastahili tambua na unacho stahili fanya ukiwa mwathiriwa wa ulaghai wa mapenzi.