KASA: Yakuza uhusiano kati ya Australia na Kenya

Mwenyekiti wa KASA Bw John Kamau Ngatia katika mahojiano Source: John K Ngatia
Shirika la Kenyan Association of South Australia (KASA), huwakilisha nakutoa aina tofauti ya huduma kwa wakenya wanao ishi Kusini Australia.
Share




