Aliye kuwa Gavana wa Bomet Dr Joyce Laboso, na aliye kuwa mbunge wa Kibra Ken Okoth Source: CFMKenya imetikiswa kwa vifo vya wanasiasa maarufu katika muda wa siku chache, baada yaku kabiliana na saratani.
Published
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Kenya imetikiswa kwa vifo vya wanasiasa maarufu katika muda wa siku chache, baada yaku kabiliana na saratani.
Taifa hilo linakabiliana pia na kesi za ufisadi, ambako wanasiasa kadhaa wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kashfa hizo.
Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya SBS mjini Nairobi, alituarifu yanayo endelea katika taifa hilo la mashariki ya Afrika.