Leyla ni mkaazi wa Melbourne, Victoria. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu hatua ambazo wanawake wamepiga katika miaka 112 ya harakati zakutetea haki zawanawake duniani.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atoa hotuba katika kikao cha 76 cha kongamano la Umoja wa Mataifa Source: Getty / Getty Images
SBS World News