Kasi ya mechi pamoja na viwango vya wachezaji wake imesababisha ligi hiyo kuwa na uvutio mkubwa zaidi kuliko ligi zingine duniani.
Wikendi iliyopita wapenzi mchezo wa mpira wa miguu, walipata burudani kamili kupitia timu zao pendwa. Liverpool iliwakaribisha Bournmouth katika uwanja wa Anfield nakuwakabidhi kapu lamagoli 9 bila jibu.
Mchambuzi wetu wa michezo George Kosgey, alitufafanulia matukio ya wikendi hiyo yakihistoria.