Rais Nkurunziza alikuwa anatarajiwa kumkabidhi mamlaka Rais mteule Evariste Ndayishimiye tarehe 20 Agosti kabla yakustaafu rasmi.
Kifo chake cha ghafla kimewaacha wanasiasa na raia wa Burundi, ndani na nje ya nchi hiyo, wakiwa namaswali yasiyokuwa na majibu.