Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka"

Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Kenya, katika maandamano yakupinga muswada wa fedha wa 2024 mjini Melbourne, Victoria, Australia.jpg

Maandamano dhidi ya muswada wa fedha wa 2024 nchini Kenya hatimae yamefika Australia.


Baadhi ya wakenya wanao ishi mjini Melbourne wana jiandaa kuonesha mshikamano na wenzao walio nchini Kenya, wanao andamana kupinga muswada wa fedha wa 2024.

Bw Mwita ni mmoja wa wanadiaspora hao wanao elekea katika maandamano hayo, alipo zungumza na SBS Swahili alifunguka kuhusu sababu zaku jiunga na wenzake katika maandamano hayo.

Aliwaonya viongozi nchini Kenya, wajifunze kupitia mfano wa Sri Lanka ambako raia wali badilisha serikali kwa sababu yakuto shughulikia maslahi yao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Makena "Viongozi wetu wajifunze kwa yaliyo fanyika Sri Lanka" | SBS Swahili