Mjini Sydney, viongozi wa jamii yawarundi waliandaa mkutano wakutoa heshima zao za mwisho, kwa aliyekuwa rais wa nchi yao.
Mohamed:"Rais Nkurunziza aliwafunza warundi kuwa wazalendo"

Mwili wa aliyekuwa rais wa Burundi Peter Nkurunziza wawasili kwa ibada yamazishi mjini Gitega, Burundi Source: F24
Tangazo la kifo cha aliyekuwa rais wa Burundi, Peter Nkurunziza lilizua hisia mseto ndani na nje ya taifa hilo la Afrika ya Kati.
Share