Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.
Bi Saada hutoa elimu kwa jamii mjini Sydney, New South Wales. Katika mahojiano maalum kuhusu hoja hii, alifunguka kuhusu mbinu za kutokomeza ukeketaji.
Bonyeza hapo kwa mahojiano kamili.
Share






