Matokeo hayo, yame iacha Tasmania kuwa mamlaka pekee nchini Australia, ambayo haiko chini ya uongozi wa serikali ya chama cha Labor.
Matokeo hayo pia yame maliza miaka 12 ya chama cha Labor, katika upinzani jimboni New South Wales.
Aliyekuwa kiongozi wa NSW Dominic Perrottet amethibitisha pia kuwa atajiuzulu kama kiongozi wa chama cha Liberal, hatua ambayo ime acha mlango wazi kwa mweka hazina wa zamani Matt Kean, ambaye ametarajiwa kwa muda mrefu kuwania uongozi wa chama cha mseto.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.