Rahab"Serikali imesikia nakuchukulia hatua kilio chetu kuhusu utapeli"

Rahab Mwaniki Mwenyekiti wa kamati inayo andaa kongamano la uwekezaji, Melbourne, Victoria.jpg

Viongozi wa makampuni na biashara kutoka Kenya wame tua mjini Melbourne kushiriki katika kongamano la biashara.


Rahab Mwaniki ndiye Mwenyekiti wa kamati ya waandalizi wa kongamano hilo, katika mahojiano maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu kazi ambayo kamati yake imefanya kuandaa kongamano hilo.

Bi Rahab alizungumzia pia wasiwasi wa baadhi ya wana diaspora wanao taka wekeza nyumbani, ila wasiwasi unao sababishwa na hadithi za utapeli zime wazuia wengi kuwekeza nyumbani.

Kwa taarifa za ziada kuhusu kongamano hilo bonyeza hapa: www.kcv.org.au

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service