Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE starting June 12 2026

Ramadan na Eid ni nini, na huadhimishwaje huku Australia?

Ramadan

Ramadan Source: Pixabay

Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.


Published

By Sam Anwari

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Australia ni nchi yenye tamaduni nyingi na ina idadi kubwa yawa Islamu wengi.


Kuna uwezekano umekutana, kuwa rafiki au umefanya kazi pamoja na Muislamu kama una ishi ndani ya mji mkuu au jiji.

Waislamu nchini Australia na duniani kote wanapo shiriki katika mfungo wa Ramadan, ambao ni mwezi mzima wa ibada nasaumu, katika makala haya tuta chunguza umuhimu wakidini wa mwezi huu mtukufu.

Kuelewa nakuthamini dini na tamaduni ya mtu, ni muhimu kwa jamii yenye mshikamano.

Ramadan ni mwezi wa tisa wa kalenda ya jua yaki Islamu, ni wakati ambapo watu wazima ambao ni Waislamu wenye afya nzuri hufunga kuanzia alfajiri hadi alasiri.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now