Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana"

Alfred Koech akiwa pamoja na rafiki yake Kelvin Kiptum.jpg

Habari za kifo cha mshindi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, Kelvin Kiptum katika ajali ya barabarani, zilitikisa dunia nzima siku chache zilizo pita.


Alfred Koech anaye julikana mitandaoni pia kama "Sergent" ni Mkuregenzi Mtendaji wa shirika la Landson Foundation, ambayo huwasaidia vijana wenye vipaji vya riadha kupitia elimu nchini Kenya.

Bw Koech ambaye ni mkaaji wa Perth, Magharibi Australia, alirejea nchini takriban wiki tatu zilizo pita kutoka Kenya, na alikuwa amekutana na marehemu ambaye walikuwa wame weka mipango tayari yakutembelea shule na kambi ya wanariadha ambayo Sergent amejenga nyumbani kwao.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Sergent aliweka wazi hisia zake kwa kifo cha Bw Kiptum na jinsi atakavyo mkumbuka.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Sergent "Kiptum alikuwa mtu mpole na mcheshi sana" | SBS Swahili