Serikali ya shirikisho ina onekana nikama, ina jiandaa kufanya makebisho kwa viwango vya tabia bungeni.
Kamati ya vigezo vya bunge inatarajiwa kutoa ripoti yake Disemba, wakati muswada wa uadilifu unatarajiwa kuwasilishwa bungeni wiki ijayo.
Source: Facebook
SBS World News