Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Katika mazungumzo maalum na mwenyekiti wa jumuiya hiyo Bw Isaac Kisimba, alifunguka kuhusu umuhimu wa maadhimisho hayo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share





