Waustralia wenye asili ya Sudan Kusini wavunja ukimya

(L to R) Kush, Nikki, Titan and Jackie Source: SBS
Msongo wa mawazo ni tabia katika utamaduni wa Sudan Kusini. Lakini kundi la watu wanaoishi Melbourne wanania ya kubadili hilo. Wakihudhunishwa na matukio mengi ya kujiua katika jumuiya yao, wanasema ni wakati wa kuvunja ukimya kuhusiana na masuala ya afya ya akili, kama Amadee Nizigama anavyotupa taarifa.
Share