Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya ziada na marekani.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Sudan na Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE leo zitapambana katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ, huku Sudan ikiishtumu UAE kwa kuvunja Mkataba wa UN wa Mauaji ya Kimbari kwa madai ya kuwaunga mkono wapiganaji waasi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share





