Vitu kumi na moja muhimu vya kitamaduni, vinarejeshwa katika maeneo yao ya asili nchini Australia, baada ya takriban karne moja ng’ambo. Vioo kumi vya vichwa vya mikuki na, jino la la kangaroo vime kuwa karibia miaka 100 ndani ya nyumba ya makumbusho ya Fowler mjini California.
Serikali ya Kenya kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje, Musalia Mudavadi imethibitisha kuwa bado mwanaharakati Boniface Mwangi anashikiliwa na mamlaka za Tanzania na kwamba juhudi za kumrejesha Kenya zinafanyika. Wanaharakati hawa walishikiliwa na polisi mei 19 wakiwa hapa nchini ambako walifika kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili, Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu.
Ange Postecoglou amesema ushindi wa timu yake katika fainali ya kombe la Europa, ni zawadi kwa walio dumisha imani katika msimu mgumu. Mwalimu huyo mwenye asili ya Australia, ametengeza historia pamoja na timu yake, Tottenham Hotspur, ambayo ime ishinda Manchester United kwa goli moja kwa mtungi katika fainali iliyo chezewa mjini Bilbao, Uhispania.