Taarifa ya Habari 28 Machi 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.


Wa australia hawata pewa afueni ya ziada ya ushuru chini ya serikali ya mseto, badala yake kiongozi wa upinzani Peter Dutton amependekeza utoaji wa umeme na mafuta ya bei nafuu.

Mkuu wa jeshi la Sudani Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jumatano jioni kwamba Khartoum "imekombolewa," baada ya hapo awali kutangaza kwamba vikosi vyake vimeutwaa tena uwanja wa ndege wa mji mkuu, eneo la kimkakati na la kishara lililokaliwa tangu kuanza kwa vita na na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vya Jenerali Mohamed Hamdane Daglo, anayejulikana kwa jina la Hemedti.

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC, ambapo wametangaza kuongeza timu ya wapatanishi kufuatia kikao chao cha Jumatatu ya wiki hii.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service