Taarifa ya Habari 31 Machi 2025

Bench - Swahili.jpg

Wa Islamu nchini Australia na duniani kote, wana sherehekea Eid al-Fitr baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan kumalizika.


Gavana Mkuu amekabidhi Tume ya Uchaguzi ya Australia taarifa, inayo mpa Kamishna wa Uchaguzi amri ya kuandaa uchaguzi mkuu. Uchaguzi huo ulitangazwa Ijumaa iliyopita na bunge la 47 kuvunjwa ila, utoaji wa taarifa ni mwanzo rasmi wa uchaguzi. Hata kama taarifa hiyo imetolewa, haitachukuliwa kama imetolewa hadi saa kumi na mbili jioni ya leo.

Serikali ya Jamhuriya Kidemokrasia ya Congo, inarejelea mashauriano ya kitaifa ya uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa, yaliyoanza wiki moja iliyopita, na kususiwa kwa kiasi kikubwa na wanasiasa wa upinzani.

Mchezaji gofu wa Australia Min Woo Lee, ameshinda kombe lake la kwanza la P-G-A, katika mechi ya wazi ya Houston,Texas.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service