Filamu yatumiwa kukabiliana na maswala ya jamii
Young Martin kabla ya uzinduzi wa filamu yake Fallen Tears Source: SBS Swahili
SBS Swahili ilihudhuria uzinduzi wa filamu: Fallen Tears iliyo tengezwa na Young Martin, ambaye ni mtengezaji filamu kutoka eneo la Magharibi ya Sydney, NSW. Punde baada ya uzinduzi wa filamu hiyo tulizungumza na Bw Young Martin, waigizaji na baadhi ya walio hudhuria uzinduzi wa filamu hiyo Fallen Tears. Bofya hapo juu usikize mahojiano hayo.
Share




