Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
Hayati Mwinyi alikuwa akipokea matibabu ya saratani ya mapafu katika hospitali ya Mzena, mjini Dar es Salaam.
Mwili wa Hayati Mwinyi utasafirishwa visiwani Zanzibar, ambako utazikwa tarehe 2 Machi 2024.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






