Ni mara haba kwa wasanii maarufu wa nyimbo zaki Afrika kufanya ziara nchini Australia.
SBS Swahili iliposikia kuwa Mfalme wa Soukous: Kanda Bongo Man ata fanya ziara nchini Australia, tuliwasiliana na mmoja wa waandalizi wa ziara hiyo ambaye alitupa maelezo kamili kuhusu maandalizi ya tamasha za Bw Kanda Bongo Man
Share





