Uamuzi wa serikali kupunguza idadi yawafanyakazi wakasirisha wabunge huru

Waziri Mkuu Anthony Albanese, akizungumza na waandishi wa habari.

Waziri Mkuu Anthony Albanese, akizungumza na waandishi wa habari. Source: AAP

Wabunge wame zua ukosoaji mkali dhidiya waziri mkuu, kwa uamuzi wake wakukata idadi yawafanyakazi wao wa ushauri kwa theluthi tatu.


Hatua hiyo imezungumziwa na baa dhi ya watu kuwa ni “shambulizi kwa demokrasia”, ambalo linawaacha wabunge huru na vyama vidogo bila uwezo wakuchunguza vizuri miswada.

Chama cha Greens nacho kili kasirishwa na idadi yawafanyakazi, ambao kilipewa. Wanachama wa chama hicho wameongezeka kutoka wabunge 10, hadi wabunge 16 kupitia uchaguzi mkuu uliopita.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service