Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki06:39SBS SwahiliView Podcast SeriesFollow and SubscribeApple PodcastsYouTubeSpotifyDownload (6.08MB)Download the SBS Audio appAvailable on iOS and Android Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.Changamoto hiyo yakifedha imesababisha kukwama kwa shughuli za baadhi ya taasisi za Jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki.Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.ShareLatest podcast episodesTaarifa ya habari:Kevin Rudd ajiuzulu kama balozi wa Australia nchini MarekaniYaliyojiri Afrika:Uganda yajiandaa kwa uchaguzi mkuu AlhamisiMakala leo:utafiti unaonyesha miti kote Australia inakufa kwa kasi zaidi,hali inayochangia kaboniMakala leo:Je,uangalizi wa ndege ni jambo maarufu miongoni mwa vijana sasa hivi?